vaccine image

Chupa moja inatosha kuchanja Mbuzi 50, Chanja Mbuzi wako mara moja kila baada ya miezi 12 (Mwaka Mmoja).

NB: Matumizi ya Chanjo hii ni lazima yafanywe na Mtaalam wa Mifugo aliethibitishwa na Mamlaka husika