DIRA YA WAKALA

Kuwa kituo cha umahiri katika kutoa huduma bora za maabara za Veterinari, bidhaa bora za Veterinari na kufanya utafiti juu ya vimelea vya magonjwa ya wanyama na wadudu waenezao magonjwa ndani na nje ya Tanzania.