Miradi na Tafiti

Wakala ina jukumu la kufanya tafiti mbalimbali zinazolenga kutafuta njia mbalimbali za kutambua na kudhibiti magonjwa ya mifugo na wadudu wanaoeneza magonjwa hayo. Wakala inafanya tafiti na miradi mbalimbali inayojikita katika kutafiti njia za kudhibiti mbung’o wanaoeneza magonjwa ya Nagana kwa mifugo na Malale kwa binadamu; Uboreshaji wa uzalishaji wa mifugo kwa njia ya Uhimilishaji; Kujengea uwezo wataalamu wa maabara katika uchunguzi na utambuzi wa magonjwa na udhibiti wa ueneaji wa viini vya magonjwa; Udhibiti wa ugonjwa wa Mdondo kwa kuku na kuboresha lishe ili kukabiliana na utapiamlo; Uimarishaji wa miundombinu ya kuzalisha chanjo za mifugo na uzalishaji wa chanjo ya Homa ya Mapafu ya Mbuzi; na Uboreshaji wa ufugaji wa kuku wa kienyeji na kuufanya wa kibiashara. Baadhi ya Miradi inayoendelea ni kama inavyooneshwa kwenye jedwali hapa chini

 

 Miradi na tafiti zinazoendelea

NA.

KITUO

JINA LA MRADI

MFADHILI

1.

TVI

Development of vaccine against Contagious caprine pleuropneumonia for productivity of goats in Tanzania, at Tanzania Vaccine Institute, Kibaha

COSTECH - URT

2

VVBD-TANGA

ENABLES: Enabling Livestock-keepers to Eliminate Sleeping Sickness

BBSRC - UK

3

VVBD-TANGA

An integrated approach to tackling drug resistance in livestock trypanosomes. 2019-2021

BBSRC - UK

4

VVBD-TANGA

Development of improved semio-chemical prototypes and their integrated ‘push–pull’ deployment in area wide control of tsetse flies in Meatu district: 2019-2021

BIOINNOVATE AFRICA

5

VVBD-TANGA

Pre operational activities for the elimination of Glossina Swynnertoni through area wide integrated pest management in North eastern Tanzania

IAEA – VIENNA

URT

6

VVBD-TANGA

Solar Solutions to Build Resiliency in Laboratory Capacity for Vector Borne Zoonoses in Tanzania

University of Glasgow small grants

7

CVL

Strengthening Health and Biosecurity in Tanzania by Bio-detection Capacity Building Phase II

FINLANDGOVT (2019-2023)

8

CVL

One-Health Approaches to Trans-boundary Disease Surveillance and Molecular Epidemiologic Analysis of Brucellosis in Tanzania and Rwanda

DTRA, USA (2021-2025)

9

CVL

Transforming smallholder free-range chicken production into one of the dependable pillars of livelihoods

COSTECH (2019-2021)

10.

DODOMA

“Introducing Livestock Farmer Field Training approach into the extension system to improve animal husbandry and welfare in rural settings”.

COSTECH 

11.

CIDB/TVI

Development of Rabies vaccine

TVLA

12

VVBD TANGA

Identifying inter-epizootic transmission routes of Rift Valley fever virus in Tanzania to inform targeted control strategies for outbreak response". Hii project iko funded na itaanza 2022 mpaka 2024.

Natural Environment Research Council (NERC) UK

13

TVI

Infrastructure development for Cell Culture laboratory

COSTECH

14

TVI

Advancement of Veterinary vaccine quality control Laboratory activities at Tanzania Vaccine Institute, Kibaha

COSTECH

15

VVBD TANGA

Identifying inter-epizootic transmission routes of Rift Valley fever virus in Tanzania to inform targeted control strategies for outbreak response.

Natural Environment Research Council (NERC) UK

(2022 – 2024)

16

CVL

Surveillance and molecular characterization of Mareks Disease strains circulating in Tanzania

IFS

2022-2024