Tanga

TANGA

 

MAHALI KILIPO: Kituo kipo majani mapana anwani ya makazi hatujapawa bado wako kwenye mchakato

Huduma zinazotolewa na kituo katika mkoa wa Tanga

  • Kituo kinafanya huduma ya utambuzi wa magonjwa ya mifugo katika mkoa wote wa  Tanga
  • Kituo kinafanya tafiti za wadudu (kupe, mbung`o, mbu na viroboto) wanaoeneza magonjwa kwa mifugo na magonjwa waenezayo
  • Kituo kinasambaza chanjo za mifugo husani zile zinazotengenezwa na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania katika wilaya zote za mkoa wa Tanga
  • Kituo kinatoa mafunzo kwa vitendo na nadharia kwa wakulima, wanafunzi wa ngazi zote kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu nchini
  • Kituo kinasaidia kufanya udhibiti wa mbung`o katika maeneo yalioathirika ikisaidiana na halmashauri husika na pia kurugenzi ya huduma za mifugo
  • Tunatoaa ushauri kwa wafugaji juu ya ufugaji bora


Tel: +255 27 2644572/3
Fax: +255 27 2642577
Email: tvla.tanga@tvla.go.tz
P. O. Box: 1026 Tanga, Tanzania