Meatu-Simiyi
MTAA WA BOMANI 04 BARABARA YA NIDA,
MWANHUZI MEATU.
1) Uchunguzi na utambuzi ya magonjwa ya Wanyama,
2) Utafiti wa Magonjwa ya Wanyama,
3) Usambaji wa chanjo za mifugo hasa zile zinazozalishwa na TVI
4) Kuchukua na kuhakiki ubora wa vyakula vya mifugo kwa kushirikiana na CVL
5) Kuchukua sampuli za dawa za majosho na kuangalia uwezo wake kwa kushirikiana na CVL
6) Kutoa elimu na ushauri wa uthibiti wa wagonjwa na ufugaji bora
TUNAHUDUMIA MIKOA MITATU (3):
Mkoa wa Simiyu,
Mkoa wa Shinyanga na
Mkoa wa Mara