
Chupa moja inatosha kuchanja Ng’ombe 25. Chanjo hii inachanjwa mara moja tu kwenye maisha ya mnyama. Chanja Mitamba wenye umri wa kuanzia miezi 3 hadi 6. Wafanyie vipimo Mitamba yako kabla ya kuchanjwa, usichanje wanyama wenye maambukizi.
NB: Matumizi ya Chanjo hii ni lazima yafanywe na Mtaalam wa Mifugo aliyethibitishwa na Mamlaka husika