vaccine image

Chupa moja inatosha kuchanja Wanyama 100 (Dozi), chanja Ng’ombe, Mbuzi na Kondoo wako mara moja kila baada ya miezi 12 (Mwaka Mmoja).

NB: Matumizi ya Chanjo hii ni lazima yafanywe na Mtaalam wa Mifugo aliyethibitishwa na Mamlaka husika